Kwa sasa kituo kinaendelea na upanuzi wa majengo tumejenga nyumba ya kulala watoto na chumba cha darasa .Tunatarijia kumalizia ujenzi huo baada ya kupokea msaada kutoka DENMARK .Wa TSH 3.5milioni natutalipia watoto karo wapotao 15 .Tupo mbioni kuanzisha mradi wa ufugaji kuku wa nyama.
KATIBU SADAT KACHWAMBA
Monday, June 7, 2010
Subscribe to:
Posts (Atom)